Fomu nzuri kutoka kwa MNYAMA, pass za uhakika, recovery, organized. pointi tatu ambazo zimeambatana na burudani. Teamwork👊
‎
‎Mashujaa nidhanu ya kukaba imewasaidia kiasi chake. Defending ya maana imepunguza madhara. Bahati mbaya counter attack walizopata zikathibitiwa na ubora wa nyanda.
‎
‎Libasse Gueye mtu wa maana kabisa. Yuko seriou sana na kazi yake. Comb yake yake na Chama, Anicet, Morice ikukubali Simba wata enjoy sana.
‎
‎Mwangosi nafasi ya dhahabu anashindwa kuigeuza kuwa utambulisho wake Ligi Kuu kumshawishi kocha.

Overall Simba imecheza easy game. Imestiki kwenye falsafa yake passing game. Mpira kwenye njia zake,ichukue game, shinda burudisha jukwaa.
‎
‎Full Time
‎Simba 2-0Mashujaa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *