Uhaba wa mbegu bora unavyokwamisha uzalishaji wa ufuta Tanga
Ameongeza kuwa taarifa hiyo imewapa matumaini mapya wakulima wa eneo hilo, wakitarajia kuongeza...
Ameongeza kuwa taarifa hiyo imewapa matumaini mapya wakulima wa eneo hilo, wakitarajia kuongeza...
Hali hiyo pia imeathiri upangaji wa bei ya tumbaku kwa msimu wa 2025/26, kwenye chama hicho...
LIWALE: “I WANT to continue giving birth to more children even though I have a grandchild at the moment. Having a health centre very close to my home gives me…
Waandamanaji waliendesha mgomo wa "hakuna kazi, hakuna shule, hakuna ununuzi” kote Marekani siku ya Ijumaa kupinga msako wa wahamiaji unaofanywa na utawala wa Trump.
Watu wasiopungua 200 wanaelezwa kupoteza maisha wiki hii baada ya maporomoko ya ardhi kuvuruga migodi kadhaa katika eneo kubwa la uchimbaji wa madini ya coltan mashariki mwa Congo.
Wapelelezi wa Kituo cha Polisi cha Nyali wawakamata washukiwa wawili wanaohusishwa na ulaghai wa dhahabu baada ya Mmarekani kutapeliwa KSh Milioni 37.
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Boris Pistorius, ametoa wito kwa nchi za Ulaya zijiamini zaidi katika mahusiano yao na serikali ya Marekani.
NGORONGORO: THE Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) is a well-established wildlife management entity under the Tanzanian government, dedicated to managing the Ngorongoro Conservation Area (NCA) and conserving its stately-natural splendor…
Marekani imetoa onyo kwa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi cha Kiislamu cha Iran kwamba "haitovumilia vitendo visivyo salama” katika eneo la Ujia wa Bahari wa Hormuz, baada ya Tehran kutangaza…
Ucheleweshaji wa Nyumba unaiacha Washingtoni ikitarajia kufungwa kwa muda mfupi licha ya Seneti kukubaliana na mswada wa fedha wa muda mfupi.
#HABARI: Baraza la Mitihani Tanzania, limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambapo kiwango na ubora wa ufaulu kimeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2024, ambapo matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa…
DAR ES SALAAM: OUR prehistoric human ancestors relied on deliberately modified and sharpened stone tools as early as 3.3 million years ago. The selection of rock type depended on how…
Majibu hayo yametolewa ikiwa ni siku moja baada ya Mohoozi kuomba radhi kupitia mtandao wa X...
DAR ES SALAAM: NON-COMMUNICABLE diseases (NCDs), such as hypertension and diabetes, are rising steadily in Tanzania and across the globe. According to the World Health Organisation (WHO), NCDs account for…
Utumwa ni sehemu chungu ya historia ya Afrika iliyonyang'anya watu wengi, hasa watu weusi, heshima yao na kuacha majeraha ya kudumu.
Hapo jana ilitimia miaka mitano rasmi tangu Zuchu alipoachia video ya wimbo wenye heshima kubwa...
Umoja wa Ulaya umeendeleza msimamo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Iran kwa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Tehran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu.
Umoja wa Ulaya umeendeleza msimamo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Iran kwa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Tehran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu.
GEITA: THE Geita Municipal Council has approved a proposed budget of 78.8bn/- for the 2026/27 financial year, representing an 8.3 per cent increase from more than 72bn/- allocated in the…
Hukumu iliyomwachia huru Hitler imetolewa Januari 29, 2026 na Jaji Kamazima Kafanabo aliyekuwa...
"Vitendo hivi vya kikatili ni sehemu ya kampeni ya ugaidi inayofanywa na vikundi vya itikadi kali vinavyolenga raia na miundombinu ya umma kwa makusudi," anasema mwenyekiti wa Tume ya Umoja…
Kati ya watahiniwa wa shule 569,914 waliosajiliwa mwaka 2025, wavulana ni 266,024 sawa na...
Iran inataka “kufikia makubaliano” na Marekani, Rais Donald Trump amesema siku ya Ijumaa, baada ya Tehran kuonyesha utayari wake wa kuanza tena mazungumzo huku ikikataa majadiliano kuhusu uwezo wake wa…
Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) lilitangaza vifo vya makurutu watatu wakati wa mafunzo katika Shule ya Mafunzo ya Waajiriwa wa Jeshi la Ulinzi (DFRTS) huko Eldoret.
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa X Ijumaa asubuhi, Jenerali Kainerugaba alisema alikuwa amefuta machapisho yake ya awali baada ya kubaini kuwa taarifa alizotegemea hazikuwa sahihi.
Nchini Côte d’Ivoire, Mahakama ya mwanzo ya Abidjan imemhukumu Mahamadou Gassama kifungo cha miaka mitatu jela siku ya Ijumaa, Januari 30, 2026, kwa “kumtukana rais” na “kusambaza maneno ya machafu…
Bungoma Goliath aanza ujenzi wa nyumba ya kijiji cha vyumba 3 vya kulala na bosi Patrick Riang'a, akionyesha usaidizi wa jamii na hatua muhimu za kibinafsi.
Afrika Kusini imetangaza siku ya Ijumaa, Januari 30, 2026, afisa mmoja wa ubalozi wa Israel kuwa mtu asiyestahili. “Hatua hii inafuatia mfululizo wa ukiukwaji usiokubalika wa kanuni na desturi za…
Sekta ya burudani inaomboleza Paul Cracker Munyao, dansa na mburudishaji maarufu aliyefariki akiwa na umri wa miaka 60. Mashabiki wanamimina rambirambi.
Wengi wetu tutapata matukio ya kutatanisha akilini mwetu mara kwa mara, hapa ndipo pa kuwa na wasiwasi na cha kufanya.
Jopo la wataalamu wa serikali ya Japani linatoa wito wa idadi ya maeneo yenye hatua dhidi ya utalii wa kupita kiasi kuongezeka maradufu.
DRC inataka kuimarisha uhusiano wake na Falme za Kiarabu. Kinshasa na Abu Dhabi zinajiandaa kusaini mikataba kadhaa mapema mwezi Februari 2026. Rais Félix Tshisekedi atazuru Abu Dhabi hivi karibuni. Zaidi…
Maseneta wakiongozwa na Moses Kajwang' walimuhoji gavana wa Mandera Mohamed Adan Khalif kuhusu ununuzi wa miche ya KSh 55.9 milioni, na kuibua wasiwasi kuhusu uwazi.
Maswali mengi yanaulizwa kuhusu athari za ongezeko la joto duniani kwa malaria. Tafiti kadhaa zinaelezea ongezeko la eneo lililoambukizwa huku mbu wanaoeneza vimelea hivyo wakichukua fursa ya hali ya hewa…
Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuheshimiana pande mbili katika mazungumzo ya Iran na Marekani.
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow.
Kocha wa timu yya soka ya Manchester City Mhispania Pep Guardiola kwa mara nyingine ametangaza himaya na uungaji mkono wake kwa Palestina na kusisitiza kwamba, yeye yuko pamoja na Wapalestina.
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, serikali ya Marekani inakandamiza vyombo vya habari na kuvizuia kueleza ukweli.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu (OCHA) imeonya kwamba, hali ya kibinadamu huko Gaza bado ni mbaya, huku zaidi ya watu milioni moja wakihitaji makazi…
Familia ya Kevin Maseri imeahirisha mazishi yake, ikidai haki baada ya uchunguzi wa maiti kufichua majeraha mengi ya risasi kufuatia kupigwa risasi Kitengela.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi anasema nchi yake iko tayari kuanza tena mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia. Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akiongeza shinikizo…
Rais wa Marekani Donald Trump anasema atamteua Kevin Warsh kuwa mwenyekiti anayefuata wa Benki Kuu ya Marekani. Warsh ni gavana wa zamani wa benki hiyo. Trump amekuwa akishinikiza Benki Kuu…
Idadi ya wageni walioajiriwa nchini Japani ilifikia kiwango cha juu zaidi mwaka jana, ikizidi milioni 2.5 kwa mara ya kwanza na kuangazia uhaba wa wafanyakazi nchini humo.
Mawaziri wa ulinzi wa Japani na Korea Kusini wamekubaliana kuendelea na ushirikiano na ziara za pamoja kwa mazungumzo ya kila mwaka.
Nchini Mali, msafara mpya wa malori yanayosafirisha mafuta ulilengwa katika shambulio lililohusishwa na wapiganaji wa jihadi kutoka Kundi linalodai kutetea Uislamu na Waislamu (JNIM), mshirika wa Al-Qaeda. Shambulio hilo lililotokea…
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Moi aliyeshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kumhusu Rais William Ruto amekana kuandika au kushiriki chapisho hilo lenye utata.
HABARI: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewatahadharisha wafanyabiashara dhidi ya tabia ya kupandisha bei za vyakula wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani,…
Wakati Kigali ikishutumiwa kuunga mkono kundi lenye silaha la AFC/M23 Kaskazini na Kusini mwa Kivu, wanne kati ya wakuu watano wa zamani wa nchi wanaounda jopo la Umoja wa Afrika…
🔴WATOTO WETU- JANUARI 31, 2026
Mawaziri 27 wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekutana Alhamisi, Januari 29, kujadili hali katika eneo la Maziwa Makuu, na haswa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.…