#HABARI: Baraza la Mitihani Tanzania, limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambapo kiwango na ubora wa ufaulu kimeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2024, ambapo matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Profesa Said Mohamed kwenye ofisi za baraza hilo Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Takwimu zinaonesha kuwa ufaulu umepanda kwa asilimia 2.61 na kufikia asilimia 94.98 ambapo watahiniwa 526, 620 wamefaulu kwa kupata daraja I,II, III na IV.

Ufaulu kwa waliopata daraja la kwanza mpaka la tatu wameongezeka wakiwa wanafunzi 255,404 sawa na asilimia 46.1.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *