KMC vs MASHUJAA: “Tunazibeba timu zote 15”
Kocha wa KMC Mohamed Abdallah ‘Bares’ anasema mechi ya kesho itakuwa ngumu na nzuri kutokana na hali ya timu zote mbili japo wao wana hali mbaya zaidi kutokana na kuwa mkiani mwa msimamo mwa NBC Premier League.

Kwa upande wake mchezaji Eleuter Mpepo ameelezea namna walivyojiandaa kifikra kuikabili Mashujaa.

Mechi ni kesho saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#NBCPL

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *