VVIWANJANI: “Yanga ina watu watatu tu”
Kocha wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameitumia salam Yanga SC, kuelekea mechi yao ya NBC Premier League, itakayopigwa Juni 13, 2026.

Julio amewaambia Yanga watafanya kazi kuwafunga na wasahau mambo ya goli tano mbele yake. Kocha huyo anasema ameshaifunga Yanga wakati huo akiwa Simba na hata alipokuwa Kajumulo

Mechi itapigwa saa 10:15 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD.

(Imeandakwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *