LIGI YA MABINGWA: Wachambuzi wa soka Ramadhan Murondo na Salama Ngale wauchambua mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Esperance de Tunis ambao ulimalizika kwa sare ya 2-2.
Wachambuzi hao wataja kilichosababisha Esperance kurudisha magoli yote mawili.
#CAFCL