#NBCPL: Ilianza Tanzania Prisons kwa mkwaju wa penati kupitia George Mpole, kabla ya Mtibwa Sugar nao kusawazisha kwa penati kupitia Magata Fredrick.
Dakika ya 87, Ismail Mhesa akapiga shuti la mbaaaaali na kuiandikia Mtibwa Sugar goli la ushindi.
FT: Mtibwa Sugar 2-1 TZ Prisons
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MtibwaSugarVsTZPrisons #MtibwaSugar #Prisons