#NBCPL: Kocha Francis Baraza wa Pamba Jiji hajui kipi kimewasibu vijana wake mpaka wakapoteza mechi dhidi ya JKT Tanzania.
Kocha Ahmad Ally wa JKT Tanzania akoshwa na vijana wake.
FT: JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #JKTTanzaniaVsPambaJiji