#NBCPL: Valentino aliupokea mpira na kugeuka nao na kuuweka nyavuni akiitanguliza JKT Tanzania.

Salehe Karabaka hakukubali kuondoka patupu, akaweka goli la pili.

Valentino naye hakuridhika, akaweka tena goli linguine na jumla kuwa magoli matatu.

FT: JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji

Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #JKTTanzaniaVsPambaJiji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *