Pengine Safari kuelekea yalipo mafanikio yako inaweza isifanane na hii ya Bi. Judith Verus Ligenzi ambaye ni dereva wa gari moshi kwa miaka 13 sasa lakini naamini ukimsikiliza kwa utulivu yapo mengi ya kujifunza kutoka kwake.

#kilichoborakabisa #mwanamkefundi2026 #ujuzisijinsianiajira

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *