Mashabiki wa Yanga wamefunga safari kutoka Songwe ambako ni lango kuu la SADC hadi Zanzibar kwenda kuipa nguvu timu yao kwenye mechi ya ‘Dabi’ ya Kariakoo dhidi ya Simba SC.
Mashabiki hawa wamesema kufanya vizuri kwa timu hiyo ndio sababu ya wao kujitoa kwenda kushabikia timu yao Zanzibar.
Taarifa ya Joyce Lyanda
#KariakooDerby #Yanga #Simba
(Feed generated with FetchRSS)