Afrika yazindua msukumo wa kuziba pengo la matumizi ya mashine za kisasa kwenye kilimo.
Harakati za zama za sasa za kutumia mashine kwenye sekta ya kilimo lazima zitofautiane na harakati za zamani ili hatua hizo ziwe endelevu, amesema Beth Bechdol, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa…