UNHCR: Sudan Kusini ina wakimbizi zaidi ya 600,000
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema Sudan Kusini ni mwenyeji wa wakimbizi na waomba hifadhi 613,710 katika kaya 164,574 katika majimbo 29 kote nchini.
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema Sudan Kusini ni mwenyeji wa wakimbizi na waomba hifadhi 613,710 katika kaya 164,574 katika majimbo 29 kote nchini.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Geneva, Uswisi Wakati mwenendo wa hali ya haki za binadamu katika baadhi ya mataifa duniani ukiwa mbaya; Tanzania imemwagiwa sifa kuwa na mwenendo mzuri wa kushughulikia haki za binadamu. Sifa…
#KIPIMAJOTO: “Tafiti Tanzania hapa zimefanyika nyingi kadhaa na serikali kwa kushirikiana na mashirika binafsi wamefanya tafiti kama moja imetoka jana kubwa kuhusiana na hali ya malezi na maendeleo ya awali…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 27, 2026
#KIPIMAJOTO: “Ukuaji wa mtoto upo katika vipengele gani?.....Kwanza tunaanza na ukuaji wa kimwili ukuaji wa mwili kwa macho tunaona kila mtu atashuhudia kuongezeka kwa mtoto kimwili…………………..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 27, 2026
#KIPIMAJOTO: “Malezi yanapishana kama nilivyosikia kwa mtaalam alivyoelezea, mimi binafsi jinsi ninavyolea Watoto wangu kuna muda wa kusoma kuna muda wa kucheza na pia pengine hatukujua hicho kitu…….” Powered by…
#HABARI: Watumishi kutoka Idara na Vitengo mbalimbali vya Wizara ya Nishati wamepongeza kasi kubwa ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), ambao sasa umefikia…
#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kati ya Vijiji vya Karema na Itetemya, Kapalamsenga, na Ikola wilayani Tanganyika mkoani Katavi, yamekatika kufuatia mvua iliyonyesha kusomba daraja linalowaunganisha, hali iliyolazimu wananchi kuvuka kwa…
#HABARI: Mvua zilizonyesha majira ya jioni katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, zimesababisha maji kufunika barabara katika eneo la Melela Kololo, kwenye barabara Kuu ya Morogoro – Iringa. Hali…
Tumezungumza na Padre Modest Pengo ambaye ameeleza sababu ya majina yeke kufanana na ya Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed generated with FetchRSS)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chigong wamesaini makubaliano ya mkataba wa bunge unaofanya…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizowafanya waanzishe kozi maalum kwa wasichana wa kazi za ndani ni…
Arusha. Wakati matokeo ya mitihani na ubora wa elimu vikiendelea kuwa kipimo cha ufanisi wa...
#HABARI: Viongozi wa Upinzani nchini Kenya wameikosoa Serikali ya Rais William Ruto, baada ya kubainika kuwa kiongozi wa kundi la waasi la Rapid Support Forces la Sudan -RSF, Mohamed Hamdan…
Serikali ipo mbioni kujenga barabara kutoka Songea hadi Njombe, ambayo tayari imepata mkandarasi atakayezaanza ujenzi wa kilomita 100, ili kupunguza changamoto za ubovu wa miundombinu katika eneo hilo. #AzamTVUpdates Mhariri…
Mkoa wa Singida una mambo mengi yanayoutambulisha, mathalani mandhari ya mawe makubwa, upepo wa msimu, na kilimo cha alizeti… lakini je, unajua kuna kijiji kinaitwa Nyuki? Hiki ni kijiji kilichojipatia…
#HABARI: Mamlaka ya Ziwa Victoria na Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Maziwa ambayo yanazungukwa na nchi zaidi ya sita Afirika Mashariki na Kati, wamesaini mkataba wa makubaliano utakaolenga kusaidiana katika maswala…
#KIPIMAJOTO: CHANGAMOTO ZA MALEZI KWA WATOTO HAPA NCHINI. JE, JAMII INAWAJIBIKA IPASAVYO?
#HABARI: Ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha, imewazindua watendaji na kujikuta wakibaini ujenzi wa shule ya ghorofa usio na vibali na watoto kulazwa katika bweni wakati ujenzi…
Katika hali ya kushangaza, video mpya ya jamaa wa Urusi Yaytseslav inawaonesha wanawake Wakenya waliovutiwa naye, na hivyo kuzua hasira na kufichua siri zinazosumbua
Morogoro. Jumla ya askari 785 wa Jeshi la Polisi wamehitimu mafunzo ya uongozi mdogo katika...
"Mfuko wa maendeleo ya Jimbo ulianzishwa kutetea maendeleo ya Majimbo ya uchaguzi, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2026 fedha za mfuko wa Jimbo zilizopokelewa Zanzibar ni Tsh. bilioni 8.434, lengo…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 27- 2026 - MAWASILIANO YA BARABARA KATAVI YAKATIKA
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ametoa Sh1.8 milioni mkazi wa Arusha, Florah Mbeve amekabidhiwa Sh1.8 milioni ili akalipe deni alilomkopea mumewe kwenye Kikoba. Hata hivyo, mara baada ya kumpatia fedha…
Truphena Muthoni azua wasiwasi kuhusu jukumu lake la balozi katika kampeni ya upandaji miti baada ya kutambuliwa na Rais Ruto. Tazama maelezo ya hali yake.
Kwa mujibu wa Askofu Mchamungu, Kardinali Pengo aliishi kile alichokihubiri. Unyenyekevu wake...
Ushindi mkubwa wa UDA katika uchaguzi mdogo wa Februari 26 unaangazia uungwaji mkono wa umma kwa uongozi wake, huku ikikemea masimulizi ya upinzani usio na msimamo.
NYASA, RUVUMA: Wakati taifa likichukua hatua mbalimbali kukuza uchumi wa kidijiti, Kampuni ya Helios Towers imetoa vifaa vya kisasa vya maabara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) vyenye thamani…
“Kutokana na hali ya usalama, wafanyakazi wa Uingereza wameondolewa kwa muda kutoka Iran. Ubalozi wetu unaendelea kufanya kazi kwa njia ya video,” Wizara ya Mambo ya Nje imesema kwenye tovuti…
Dar es Salaam. Kikao maalumu cha ushauri (DCC) Wilaya ya Moshi kimepitisha mapendekezo mawili...
Harakati za Edwin Sifuna za 2027 zimetikisa utaratibu wa kisiasa Kenya; licha ya utata katika ODM na mikutano ya kisiasa, anakabiliwa na changamoto kuhusu miungano.
#HABARI: Mradi wa maji katika Kijiji cha Nyani, Kata ya Mafizi, umefikia asilimia 70 ya utekelezaji, jambo lililomfanya Mbunge wa Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, kuonyesha kuridhishwa na kasi ya mkandarasi…
#HABARI: Serikali imetoa wito kwa wananchi waliokamilisha taratibu za mirathi na kupata haki zao kurejea mahakamani kufunga rasmi mashauri hayo ili kupunguza mlundikano wa kesi zinazoonekana bado ziko wazi. Naibu…
NYASA, RUVUMA: A state-of-the-art ICT laboratory has been launched at Tingi Secondary School in Nyasa District, Ruvuma Region, with Helios Towers supporting the facility with 30m/- worth of equipment through…
Dennis Kosgei kutoka Nandi anaomba usaidizi kusafiri kutoka Myanmar baada ya wakala kumlaghai kuhusu kazi ya udereva nchini Malaysia, ambayo sasa imemtia taabani
Kazi ya kutoa huduma ya malezi kwa wagonjwa haswa nyumbani mara nyingi hutafsiriwa kuwa upendo, lakini nyuma ya pazia walezi wa muda mrefu hubeba mzigo mzito, na hata kukabiliwa na…
Mbunge wa Githunguri Gathoni Wamuchomba amechekelea Muungano wa Upinzani baada ya kubwagwa katika chaguzi ndogo nne ambapo chama cha UDA kilishinda kwa wingi.
Taarifa za ndani ya chama hicho ambazo si rasmi zimebainisha kuwa kikao hicho kimesogezwa mbele...
Mkuu wa tume ya haki ya Umoja wa Mataifa Volker Turk ameonya kuhusu kudodrora kwa hali nchini Sudan Kusini, huku akitoa wito wa hatua ya haraka kuchukuliwa kuzuia taifa hilo…
Mashabiki wa Yanga wamefunga safari kutoka Songwe ambako ni lango kuu la SADC hadi Zanzibar kwenda kuipa nguvu timu yao kwenye mechi ya ‘Dabi’ ya Kariakoo dhidi ya Simba SC.…
2mbili afunga biashara anadai kwamba hakuhudhuria mazishi ya mama yake Khalif Kairo. Pia alifichua mazungumzo aliyokuwa nayo na X bigwig kabla mama yake kufariki.
Familia ya Monica Nyambura inalilia haki baada ya uchunguzi wa maiti kuthibitisha mauaji yake yalitokea maani Githurai 45.Kasi ya uchunguzi wa kifo chake inaongezeka
Mabasi hayo 100 yanayotumia gesi na yenye kiyoyozi yamenunuliwa na Serikali kwa Sh20 billioni...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE, FEBRUARI 27, 2026 -
Rais Ruto atawadhamini mashabiki Kevin Masagara na Useful Idioty kutazama mechi za Ligi Kuu Old Trafford na Uwanja wa Emirates, huku gharama zikitajwa.
Makabiliano makali ya kijeshi yameendelea kushuhudiwa kati ya nchi jirani za Afghanistan na Pakistan, kuanzia usiku wa kuamkia Ijumaa, na kuzua wasiwasi wa nchi hizo kuingia kwenye vita vya muda…
#HABARI: “Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amekuwa akisumbuliwa na maradhi ya mgogongo na moyo, kwa muda mrefu, ametibiwa hapa nchini na nchi nyingine ikiwemo Ujerumani, India na Marekani…” - Askofu Henry…
UJUMBE wa kiungo raia wa Uganda, Khalid Aucho, aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram kupinga tuhuma za utovu wa nidhamu na kupewa adhabu ya kusimamishwa kwa miezi mitatu, umeibua hisia…