Al-Burhan: Hakutakuwa na suluhu Sudan mpaka RSF iondoke kwenye maeneo yote inayoyakalia
Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, amesema hakutakuwa na usitishaji mapigano mpaka pale Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) vitakapojiondoa kwenye kile alichokieleza kuwa ni maeneo…