Ukame wa mabao unavyomtesa Mayele Pyramids
Kwa kushindwa kufunga jana, Mayele sasa amefikisha idadi ya michezo 21 mfululizo ya mashindano...
Kwa kushindwa kufunga jana, Mayele sasa amefikisha idadi ya michezo 21 mfululizo ya mashindano...
Mbunge wa Tunisia Ahmed Saidani ahukumiwa jela kwa machapisho ya Facebook ya kumdhihaki Rais Kais Saied kuhusu mafuriko, na kuzua wasiwasi kuhusu uhuru wa kujieleza.
Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (Arusha DC) imepitisha mapendekezo ya bajeti ya Sh75.4...
Hali ya wasiwasi imeongezeka Amalemba huko Kakamega huku polisi wakidaiwa kufyatua mabomu ya machozi kabla ya mkutano wa Linda Mwananchi unaoongozwa na Edwin Sifuna.
Hai. Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, kata ya Weruweru, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro...
Majaji sita walipiga kura dhidi ya ushuru huo, hatua ambayo ni pigo kubwa kwa sera ya kiuchumi ya utawala wake.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe David Kihenzile amesema Mkoa wa Kigoma na Wakazi wake wapendelewa sana na Serikali na kwamba kwa uzoefu wake wa kuzunguka maeneo mbalimbali Nchini Tanzania, hajaona…
Zaidi ya Sh2.2 bilioni zimetolewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya vijijini kwa ajili ya...
Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam imeendelea kung’ara baada ya kushinda Tuzo ya Ubora wa...
Wiki hii imekuwa ya majonzi kwa wapenzi wa muziki wa zamani, kutokana na kuondokewa na...
SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa rai kwa wananchi kujenga utamaduni wa kujitolea damu kwa hiari ili kuokoa maisha ya wajawazito na watoto wachanga wanaohitaji huduma za…
DAR ES SALAAM: THE Oryx Gas Tanzania Limited (OGTL) has reaffirmed its commitment to promoting clean cooking energy across the nation, with a focus on enhancing the daily lives of…
Uamuzi wa Mahakama Kuu bila shaka utainufaisha Afrika Kusini, ambayo imeathiriwa na ushuru wa 30%. Johannesburg ililipa gharama kubwa kwa Donald Trump kutaka kumwadhibu Cyril Ramaphosa kwa madai ya kuwatesa…
Rais wa Marekani Donald Trump anakataa kukubali kushindwa, lakini uamuzi huu wa Mahakama Kuu unahatarisha kuzua migawanyiko zaidi ndani ya Chama cha Republican, kwani baadhi ya maafisa waliochaguliwa hawaungi mkono…
Moscow imetangaza kuwa mazoezi ya pamoja ya majini kati ya majeshi ya Iran, Russia na China yatafanyika katika Lango -Bahari la Hormuz.
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Ijumaa kwamba ataweka ushuru mpya wa kimataifa wa 10%, kujibu uamuzi wa Mahakama Kuu ambayo imeona ushuru mwingi alioweka tangu kurudi Ikulu…
Baraza la Maaskofu (TEC) limempoteza jabali wa Maadili ya Kanisa. Taifa limempoteza kiongozi wa...
Mahakama Kuu ya Marekani imeamua siku ya Ijumaa kwamba sehemu kubwa ya ushuru uliowekwa na Donald Trump tangu kurudi kwake Ikulu ya Marekani ni kinyume cha sheria, na kuvunja nguzo…
MOROGORO: HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro inaendelea kukamilisha ujenzi wa miradi mipya ya maendeleo ikiwemo Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilosa. Shule hiyo inajengwa kwa mapato ya ndani…
Tukio hilo linafanana na lililowahi kutokea Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, ambako...
DODOMA: ARUSHA Accounting Institute (IAA) has rolled out an expanded apprenticeship training model and invested over 48bn/- in institutional reforms aimed at producing job-ready graduates aligned with Tanzania’s fast-changing labour…
Ghana ambayo imekitaja miaka minane ya mazungumzo yasiyo na matunda, imetangaza siku ya Ijumaa, Februari 20, kusitisha mazungumzo na Lomé yanayolenga kusuluhisha mzozo kati ya nchi hizo mbili kuhusu mpaka…
MWANZA: AS Christians across the country marked Ash Wednesday, the beginning of the solemn 40-day journey toward Easter, a powerful message echoed from the pulpit of Mji Mwema Parish under…
WATOA huduma za uwekezaji nchini 110 wamepatiwa leseni huku wakiaswa mambo 10 ikiwemo kuwashika mkono wawekezaji wa ndani ili kutimiza maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa na wawekezaji…
Wakati wa mkutano wa Baraza la Amani huko Washington, D.C., Rais Donald Trump amejadili jukumu la kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu Gaza (ISF), siku ya Alhamisi, kwa lengo la…
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo jana Februari 19, 2026 na kusomewa mashtaka yao na...
Hadja Lahbib amezuru mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini siku ya Ijumaa, Februari 20, ambapo alikutana na ujumbe wa maafisa kutoka AFC/M23, kundi linalodhibiti mji huo. Kufuatia majadiliano hayo,…
Inaeleza kuwa vifo, utekaji ni kati ya matukio yanayotikisa Balochistan na kutishia uhai wa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Marekani haijawahi kudai kusitishwa kabisa kwa urutubishaji wa urani katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanayoendelea, huku akionya kuwa baadhi…
Guinea-Bissau imesitisha utafiti tata wa chanjo ya homa ya ini aina ya B (Hepatitis B) uliokuwa ukifadhiliwa na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya Shirika la Afya…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP limesema hali ya upatikanaji wa chakula nchini Somalia imefikia hatua mbaya ambapo mamilioni ya watu wako hatarini kukumbwa na…
Balozi wa Marekani katika utawala Israel amesema itakuwa “sawa tu” iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utapanua mipaka yake kote katika Asia Magharibi chini ya mpango wa “Israeli Kubwa.”
Wabunge wa Marekani huenda wakapiga kura mapema wiki ijayo juu ya muswada unaolenga kumzuia Rais Donald Trump kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran bila idhini ya wazi ya Bunge…
Mjumbe Huru wa Umoja wa Mataifa wa Kutafuta Ukweli kuhusu Sudan uliripoti mnamo Februari 19, 2026, “vitendo vya mauaji ya kimbari” huko El-Fasher, eneo linalokumbwa na ukatili baada ya kuanguka…
MWANZA: WATER is a vital resource for human life and overall social development. Without water, there can be no agriculture, no industry, and no safe living. In today’s world, where…
Kinda wa Wolves Mateus Mane kuondoka Molineux, Liam Delap anatakiwa Merseyside na Casemiro anawaniwa na vilabu vya Ulaya, Amerika Kaskazini na Kusini.
Ikiwa wameadhimisha mwaka mmoja wa ndoa hivi karibuni, Jux ameendelea kutoa nyimbo ambazo kwa...
Kasmuel McOure alikabiliana na umati wenye uadui ambao haukutaka kusikiliza chochote alichokuwa karibu kusema, walimzomea na kumfukuza, wakimlazimisha kukimbia.
Jitihada zinaendelea ili kutatua mgogoro unaokua ndani ya Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), hata kama ushindani wa ndani unatishia kuvuruga chama.
Nyumba za familia ya mchezaji wa Kakamega Homeboyz FC marehemu Silas Abungana zimeteketezwa kutokana na vurugu zilizotokea. Mshukiwa mkuu ni kaka yake mdogo.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na tuhuma kutoka kwa polisi za kuwapa silaha magenge kabla ya mkutano wake wa Kakamega, ili kuchochea mvutano wa kisiasa.
Mwanamitindo na mwanzilishi wa kampuni ya Rhode, Hailey Bieber, 29, amefunguka kuhusu maisha...
‘Long taimu’ maisha yalikuwa mchekea na watu walishikana. ‘Of coz’ kipato kilikuwa kidogo sana...
Waendesha mashitaka pia walidai kuwa Yoon alijaribu kuichokoza Korea Kaskazini kwa kutekeleza shambulio kusini mwa taifa hilo ili kutetea hatua yake ya kuidhinisha sheria ya kijeshi.
Said ashindwa kueleza alikuwa na nani 😆 Hafsa amemwambia ukweli Mwana kuhusu mumewe na anamuhakikishia Zuh yeye ndiye atabaki kwenye ndoa. Mike amvunjia heshima Wendy wakati ambao Tony anaingia ofisini…
Nilikuwa na rafiki yangu aliyeumbwa na kichwa kisichoota nywele. Kwa imani za zamani, wazee...
Mwaka 1999 akiwa bado binti, alipendelea sana kutazama namna filamu zinavyoandaliwa. Ingawa...
Wakimbizi wamekataa kurejea nchini DRC, kwasababu hawaamini kuwa amani ipo au itarajea tena kutokana na mapigano yanayoshuhudiwa mara kwa mara.
Mwandishi maarufu wa gazeti la Marekani la New York Times, Thomas Friedman, ameonya kwamba waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anamhadaa Rais wa Marekani, Donald Trump, na makundi ya jamii…
Francesca Albanese, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu, amesema hatajiuzulu wadhifa wake huo licha ya mashinikizo yanayotolewa dhidi yake na serikali za nchi…