Mahakama Kuu yaamua baadhi ya ushuru uliowekwa na Donald Trump kuwa kinyume cha sheria
Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani imeamua kwamba rais wa Marekani alizidi mamlaka yake ya kikatiba kwa kuweka ushuru kwa karibu bidhaa zote zinazoingia nchini Marekani. Imechapishwa: 20/02/2026 – 16:41…