Rais Samia aomboleza kifo cha Kardinali Pengo
Rais Samia ametuma salamu za pole kwa Askofu Mkuu Ruwa’ichi, Baraza la Maaskofu Katoliki...
Rais Samia ametuma salamu za pole kwa Askofu Mkuu Ruwa’ichi, Baraza la Maaskofu Katoliki...
KMC iliyotolewa hatua ya 64 bora ya michuano hiyo, Baresi ameiongoza mechi saba za mashindano...
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:....FEBRUARI 20, 2026
Jeshi la Nigeria limezindua rasmi operesheni kubwa ya kupambana na ugaidi siku ya Alhamisi katika Jimbo la Kwara katika eneo la katikati magharibi mwa nchi. Operesheni hii, iliyotangazwa mapema mwezi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
Katika kalenda za dini mbili kubwa duniani Uislamu na Ukristo, kuna vipindi maalumu vya waumini...
Nchini Mali, waasi wanaotaka kujitenga wa Azawad Liberation Front (FLA) wamedai kuhusika na shambulio la ndege isiyo na rubani dhidi ya msafara wa jeshi la Mali na wanamgambo wa Urusi…
Hahaha Side ameshtuka mambo ya kuitwa na madawa ila kajichanganya kwenye maelezo yake 😆🙌 Usikose kutazama NOMA leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD (Feed generated with FetchRSS)
Muswada huo uliyopitishwa na baraza la mawaziri jioni ya Jumatano, Februari 18, unalenga kuongeza adhabu kwa wale watakaopatikana na hatia ya “vitendo kinyume na maumbile” na kuzipanua kwa mashirika ambayo…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO:....FEBRUARI 20, 2026
Saumu ni ibada inayohitaji subira na ustahimilivu. Wapo katika jamii ambao huenda wasiweze...
Ubalozi wa Ufaransa nchini DRC umethibitisha uwepo wa maafisa wa jeshi la Ufaransa huko Kisangani kama sehemu ya mpango wa ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo mbili. Kimsingi wakiwa…
Mwezi wa Ramadhani unapowadia, mamilioni ya Waislamu duniani huingia katika kipindi cha ibada...
Mtoto mdogo wa rais wa zamani wa Zimbabwe amekamatwa baada ya mtunza bustani kupigwa risasi nyumbani kwake Afrika Kusini. Imechapishwa: 20/02/2026 – 05:38 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Jitihada zinaendelea za "kufuatilia ushahidi wa kidijitali na kifedha" wa maudhui hayo ya faragha kwenye majukwaa ya kulipia.
Mwaka mzima wa mwaka jana, kama ilivyo miaka mingine ya nyuma, mstaafu wetu wa taifa wa kima...
Andrew Mountbatten-Windsor, mwanachama wa zamani wa familia ya kifalme ya Uingereza, ameachiliwa huru baada ya kukamatwa kwa utumiajimbaya wa madaraka. Alishukiwa kumpa Jeffrey Epstein, aliyehukumiwa kwa unyanyasaji wa kingono, hati…
Soma zaidi hapa...
Rais Donald Trump amesema siku ya Alhamisi anaamini Iran inaweza kufikia makubaliano ndani ya siku 10 hadi 15. Hata hivyo, mazungumzo yamekwama kwa miaka mingi, na Iran inakataa kujadili madai…
Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati wa alfajiri unapokaribia, mamilioni ya Waislamu...
Mahakama ya Morocco imetoa uamuzi wake siku ya Alhamisi, Februari 19, huko Rabat, wakati wa kumalizika kwa kesi ya mashabiki 18 wa Senegal na Mfaransa mmoja waliokamatwa wakati wa vurgugu…
Katika siku za hivi karibuni, Marekani imeongeza vikosi vya kijeshi Mashariki ya Kati, huku hatua ikisemekana kupigwa katika mazungumzo kati ya wapatanishi wa Marekani na Iran nchini Uswisi.
🔴#MAGAZETI: DARASA LENYE KITABU KIMOJA LAZUA ZOGO
Paris St-Germain yaonyesha nia ya kumsajili Erling Haaland, vilabu kadhaa vya Ulaya vinamtaka Bernardo Silva na Carlo Ancelotti ana nia ya kuongeza muda wake wa ukocha wa Brazil.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amehudhuria kikao cha kiroho cha Qur'ani katika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, akijumuika na maqarii na wasomaji…
Ujumbe wa kutafuta ukweli wa Umoja wa Mataifa umesema ukatili uliofanywa na Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF wakati wa kuutwaa mji wa El-Fasher huko Darfur Magharibi nchini Sudan mwezi…
Kwa akali watu 34 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo wa Lakurawa kwenye vijiji kadhaa katika jimbo la Kebbi, kaskazini magharibi mwa Nigeria, ripoti ya usalama iliyoonekana na Reuters ilisema Alkhamisi.
Mahakama ya Korea Kusini jana Alkhamisi ilimhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo, Yoon Suk Yeol kifungo cha maisha jela kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 2024, na kumtia…
Zaidi ya raia 640 wa Uholanzi wamehudumu katika jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Gaza na kwneye mashambulizi dhidi…
Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 20, 2026
Ongezeko la shehena ya mizigo na ufanisi bandarini. Je, unaendana na uboreshaji mifumo mingine wezeshi kuepusha mkwamo ?
Trump amemtaja Rodríguez kuwa "mtu mzuri" ambaye amefanya naye kazi. Rodríguez, kwa upande wake amesema wamekuwa na mawasiliano na Trump kwa njia ya "heshima" na "uangalifu".
Leo ni Ijumaa tarehe Pili Ramadhani 1447 Hijria sawa na Februari 20 mwaka 2026.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Msaliti wa kwanza kwa wakayi, uso kwa uso na Bey (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 19, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamejitokeza kuifariji familia ya aliyekuwa Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Mariana Tkuway, aliyefariki…
Kampuni ya Mawasiliano Tanzania Yas leo imekabidhi hundi ya Sh5 milioni kwa mkazi wa Wilaya ya...
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Serikali kwa usimamizi madhubuti wa mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja (BPS) unaohakikisha nishati hiyo inapatikana…
Nicholas Julius Macharia aliphukumiwa kifo kwa kumuua Blessing Tamara Kabura mwenye umri wa miaka saba. Mahakama ilitupilia mbali madai yake ya ushawishi wa shetani.
Baada ya siku moja Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kumaliza mgogoro wa nyumba...
Meli kongwe ya Mv Liemba iliyokuwa ikifanya safari zake kuzunguka mwambao wa Ziwa Tanganyika...
Wakati tuhuma za Epstein zikiwa zimezagaa, Wexner hakutaka kusikia lolote, na hakuchukua uamuzi...
Zanzibar: The government of Zanzibar has announced a major heritage restoration initiative backed by a $12 million public–private investment, in a move aimed at strengthening cultural preservation while expanding the…
Mama Mkwe wa Aziza kachachamaa... #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema kuwa, katika kuhakikisha vijana wanajengewa uzoefu, serikali imedhamini vijana takribani 5000 katika mafunzo ya ufundi yatakayowawezesha kukidhi…
🔴#MALUMBANO: NINI KIFANYIKE KUDHIBITI VURUGU ZA WAENDESHA BODABODA BARABARANI KWA USALAMA WAO ....FEBRUARI 19, 2026
#HABARI: Mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni saba uko hatarini kusimama baada ya wananchi wa Kata ya Luana, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuvamia chanzo cha…