Mashauri 40 ya ndoa yatinga kliniki ya sheria
Katika kipindi cha siku mbili jumla ya mashauri 40 yanayohusu migogoro ya ndoa yamepokelewa...
Katika kipindi cha siku mbili jumla ya mashauri 40 yanayohusu migogoro ya ndoa yamepokelewa...
Serikali ina mpango wa kurejesha biashara ya kuuza viumbe hai, wakiwemo nyani na tumbili, hatua...
Tiba za asili zimeendelea kuwa nguzo muhimu ya huduma za afya nchini Tanzania, huku Ripoti ya...
MRADI wa Uwezeshaji Wasichana Balehe kuendelea na Masomo (KAGIS) umesaidia takribani watu 123,489 katika mikoa ya Geita na Kigoma kwa miaka mitano ya utekelezaji. Mradi wa KAGIS umetekelezwa chini ya…
KAMISHNA wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof Dos Santos Silayo, amewataka viongozi na makamanda wa vituo vya wakala huo kubadili mtazamo wa uongozi kwa kusikiliza…
Siku chache tu baada ya kusifia mkutano wa hadhara wa Kitengela uliohudhuriwa na halaiki Jumamosi, Februari 14, Omanga ametangaza amejiunga na timu hiyo.
taalamu wa Historia, Dkt. Hubert Ndomba, amesema jamii inapaswa kupokea mabadiliko yanayoletwa na wakati, lakini ichague kwa makini yale yanayoendana na tamaduni na malengo yake ya maendeleo. Ameeleza kuwa maendeleo…
Vijana wa kizazi cha sasa maarufu kama Gen Z wameshauriwa kujifunza na kuenzi maadili ya vizazi vilivyotangulia maarufu ‘Wahenga”, ikielezwa kuwa kuwa maadili ni msingi wa maendeleo ya jamii kiuchumi…
DAR ES SALAAM :KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo mama cha kushindilia gesi asilia cha Mlimani-CNG jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza namna…
Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol amepatikana na hatia leo Alhamisi, Februari 19, ya kuongoza uasi kwa kuweka sheria ya kijeshi kwa muda mfupi na kupeleka jeshi Bungeni…
Ruth Odinga alimuunga mkono Edwin Sifuna wa ODM, akisema utaratibu unaofaa ulipuuzwa katika kuondolewa kwake, akisisitiza lazima kanuni za chama ziheshimiwe.
Asilimia 65.2 ya mauzo ya bidhaa za misitu yaliyofanyika katika robo ya mwaka iliyoishia...
JINAMIZI la mwenendo mbovu wa matokeo limeendelea kuikumba KMC msimu huu, huku kocha wa kikosi hicho, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, akiendeleza rekodi mbaya, tangu alipojiunga nayo Desemba 30, 2025, akichukua nafasi…
#HABARI: Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani imepitisha kwa kishindo bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 68.7 ikilenga utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayowalenga wananchi.…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi…
WACHEZAJI wanaocheza timu za Ligi Kuu Bara, wameanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya kufunga 'Hat-Trick' mbili kabla ya mechi za jana, ikiwa ni idadi kubwa kwa…
KILIMANJARO: PRIME MINISTER Mwigulu Nchemba has given the Ministry of Water two weeks to complete the process of securing a contractor for the construction of a water project sourcing water…
MKUU: A newly constructed Mwalimu Stephen Moshi Technical Secondary School in Rombo District, Kilimanjaro Region, is emerging as a key hub for practical skills training in the country. The school…
DRC, Zambia, Msumbiji, Zimbabwe, na Botswana zimekubaliana kujenga kituo cha pamoja mpakani. Mradi huu ulikuwa lengo la mkutano wa kiufundi uliofanyika siku ya Jumatano, Februari 18, huko Dubai, Falme za…
Hali ya simanzi, majonzi na hofu imetanda jijini Arusha kufuatia kuuawa kikatili kwa...
Jumla ya Wakenya 1,000 wameajiriwa kupigania Urusi, kulingana na ripoti ya ujasusi ya Kenya inayoelezea mtandao wa maafisa wahalifu wanaodaiwa kushirikiana na makundi ya biashara haramu ya binadamu. Imechapishwa: 19/02/2026…
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Saudi Arabia wamefanya mazungumzo na kujadili uhusiano wa pande mbili na mchakato wa mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba, mipango ya utawala ghasibu wa Israel ya kuimarisha udhibiti wa sehemu za Ukingo wa Magharibi inakwenda sambamba na…
Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ) imetangaza kuwa, waandishi habari wa Kipalestina waliofungwa katika magereza ya utawala ghasibu wa Israel kuanzia Oktoba 2023 hadi Januari 2026 wamepitia…
Vyombo vya habari vya utawala wa kibaguzi wa Israel vimeelezea wasiwasi kwamba, matukio katika eneo la Pembe ya Afrika mpaka Februari mwaka huu (2026) yanaonyesha ongezeko kubwa la mvutano kati…
🔴MEZAHURU ; ....FEBRUARI 19, 2026
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government, in collaboration with South Korea, has noted a remarkable progress in the implementation of the project to improve the National Public Health Laboratory in…
Hivi umewahi kuingia kwenye mtandao wa Instagram, Facebook, X au Tiktok ukakutana na video au...
MOSHI: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has urged Tanzanians to stop hiding people with disabilities in their homes, stressing that the practice undermines the government’s efforts to reach them and provide…
Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba. Kwa kushirikiana na Tanzania chuo hicho ambacho mwezi uliopita kimetimiza miaka 298 tangu kuanzishwa kwake, hivi karibuni kimetoa fursa kwa Wacuba kujifunza lugha ya…
Ripoti mpya ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu (OHCHR), imeibua hofu ya uwezekano wa ‘utokomezaji wa kabila’ unaodaiwa kufanywa na mamlaka za Israel katika maeneo ya…
AI haipaswi kuamuliwa na nchi chache au kuachwa mikononi mwa matajiri wachache wa teknolojia. AI lazima isimamiwe na kudhibitiwa na binadamu, kwa uwajibikaji wa wazi Ikitumika vyema AI inaweza kuharakisha…
Vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) vya nchini Sudan vilitekeleza kampeni iliyoratibiwa ya uharibifu dhidi ya jamii zisizo za Kiarabu ndani ya mji wa El-Fasher na viunga vyake, kampeni yenye…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema mwitikio wa kampuni zinazojitokeza kuwekeza katika...
Moses Kuria amemsifia Seneta Edwin Sifuna kwa ukosoaji wake wa mkataba wa ushirikiano wa Nairobi, akiangazia mapendekezo yake ya kuboresha utoaji huduma.
Zaidi ya Wakenya 1,000 wamekwenda kupigana upande wa jeshi la Russia nchini Ukraine. Ripoti ya kijasusi iliyowasilishwa katika bunge la Kenya, imesema kuwa, wengi wa raia hao walidanganywa ili kusaini…
MWANZA: THE Ministry of Health, in collaboration with the National Institute for Medical Research (NIMR), plans to expand research on medicines for treating schistosomiasis in children under five to further…
Mwanamfalme wa zamani Andrew, ambaye anatimiza miaka 66 siku ya Alhamisi, amekamatwa kufuatia madai ya “utovu wa nidhamu katika utendaji wa majukumu rasmi,” polisi ya Windsor imetangaza, kuhusiana na tuhuma…
Staa wa Benfica, Gianluca Prestianni anayedaiwa kumtolea kauli za kibaguzi nyota wa Real...
Stephanie Jepchumba Ruto anaangazia harambee ya kuchangisha pesa, ambapo alitoa KSh 3 milioni kwa ajili ya ustawi wa watoto, akizingatia maendeleo ya vijana.
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameipa Wizara ya Maji kipindi cha wiki mbili kuhakikisha inakamilisha mchakato wa upatikanaji wa mkandarasi wa ujenzi wa mradi wa maji kutoka chanzo cha Ziwa…
MWANGA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has urged public servants to increase speed and efficiency in overseeing the implementation of strategic development projects to ensure citizens receive quality services on time.…
Mwalimu aliyemfundisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba jiografia darasa la nne...
Kabla ya P-Funk Majani kuwa mtayarishaji wa muziki mwenye mafanikio makubwa, awali kabisa...
Wakazi na wafanyabiashara wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),wanaomba mpaka na Burundi ufuguliwe tena. Mwezi mmoja baada ya waasi wa AFC/M23 kuondoka katika mji wa Uvira,…
MPANGO wa kuanzisha mfuko wa kitaifa wa miundombinu nchini Kenya umekumbwa na changamoto mbalimbali ambazo zimezua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo hasa wakati taifa hilo likijiandaa…
DODOMA: A delegation of experts from the Burundian government has visited the country with the aim to learn about the various steps taken by the government to develop the agricultural…
AZAM FC: Je unafahamu ni mchezaji gani katika kikosi cha Azam ana hekaheka linapokuja suala la 'menu'? Mzikilize mpishi mkuu wa klabu ya Azam akielezea uzoefu wake wakati wa chakula…
NYOTA wa kikapu wa aliyetamba na Pazi msimu uliopita wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam, Josephat Peter 'Tekenya' amekuwa mchezaji wa kwanza wa mchezo huo picha yake kutumika kama…