Kulinda watoto vitani ni msingi wa amani ya kudumu: Vanessa Frazier
Baada ya miongo mitatu ya utekelezaji wa mamlaka ya kulinda watoto wanaoathiriwa na vita, mtetezi mkuu wa Umoja wa Mataifa katika suala hilo ameazimia kuikumbusha dunia kwamba kinga na ulinzi…