Handcrafted art finds global home online
DAR ES SALAAM: MS Aurelia Venus, a vibrant 28-yearold entrepreneur based in Arusha, has called on Tanzanian youths to boldly tap into the vast opportunities of the digital world, urging…
DAR ES SALAAM: MS Aurelia Venus, a vibrant 28-yearold entrepreneur based in Arusha, has called on Tanzanian youths to boldly tap into the vast opportunities of the digital world, urging…
KMC itakuwa kwenye Uwanja wake wa nyumbani wa KMC, Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam...
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Health, in collaboration with the World Health Organisation (WHO) and the Tanzania Epilepsy Association (TEA), has rolled out new strategies aimed at strengthening access…
Mbali na hoja hiyo moja mahakama imekataa hoja nyingine nne za Lissu za pingamizi hilo ikiwa ni...
ARUSHA: THE government, has launched the National Social Protection Policy alongside a new social security scheme for self-employed citizens, known as the Hifadhi Scheme, aimed at expanding social security coverage…
DAR ES SALAAM: THE Permanent Secretary in the Vice-President’s Office (Environment) Dr Richard Muyungi, has said that the government recognises and appreciates the efforts of innovators developing technologies that help…
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Mining Suppliers and Service Providers Association (TAMISA) has warned that some foreign investors in the country’s mining sector are failing to prioritise Tanzanians in employment…
DAR ES SALAAM: YOUTH across Tanzania face a defining choice. Every year, many leave villages for towns, believing success lives in concrete and crowds. Too often they meet unemployment, high…
ZANZIBAR: IN many developing countries, including Zanzibar, going to court has long meant navigating bureaucracy, mountains of paper files and waiting months, or even years, for cases to be heard.…
ZANZIBAR: MEMBERS of Chama Cha Mapinduzi (CCM) Women’s Wing, UWT in North Pemba Region have visited elderly residents at the Limbani Elderly Care Centre in Wete, calling on the community…
CAPE TOWN: TANZANIA and Finland have deepened their bilateral ties in the mining sector through a new cooperation framework designed to enhance technical capacity and improve the quality of geoscientific…
ZANZIBAR: THE North Pemba Regional Commissioner (RC), Ms Mgeni Khatib Yahya, has directed leaders of Wete Municipal Council and Micheweni District Council to take immediate action, using existing laws and…
Jitihada za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) za kupangua kwa mbinu za kiufundi kesi...
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S Minister for Education and Vocational Training, Ms Lela Mohamed Mussa, has said recently that the introduction of the Cambridge International Curriculum at Leera International School demonstrates the institution’s…
WAKATI Coastal Union ikichekelea kurejea kwa nyota wake waliokuwa majeruhi, straika wa timu hiyo Maabad Maulid amesema kwa sasa anajitathimini alipokwama ili kurejesha kasi yake ya kufunga mabao Ligi Kuu.
Taasisi ya Aga Khan kwa kushirikiana na Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania kupitia mradi wa...
Benito Antonio Martínez Ocasio, ndilo jina halisi la Bad Bunny. Moja ya wasanii wenye ushawishi...
‘LOLOTE linaweza kutokea’. Ni kauli ya Mtendaji Mkuu wa Tanzania Prisons, Godfrey Madegwa akielezea hatma ya kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Zedekiah Otieno kutokana na matokeo yasiyoridhisha iliyonayo maafande…
ODM inatazamiwa kuandaa mkutano muhimu wa NEC mjini Mombasa kushughulikia mizozo ya ndani, mizozo ya uongozi wa Azimio na uvumi kuhusu mustakabali wa Edwin Sifuna.
Mbunge wa Saboti Caleb Amisi ameondolewa kwenye wadhifa wa naibu katibu mratibu wa ODM huku mizozo ya ndani ya chama ikiendelea kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
SERIKALI juzi imezindua Mpango wa ushirikiano baina ya waajiri, vyuo vya elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi na taasisi za elimu ya juu, ambao imesema ni wa lazima…
Seneta Richard Onyonka alikumbana na usumbufu wakati wa mkutano wa Nakuru wakati nyoka alipovamia, jambo lililozua taharuki akimhoji Rais Ruto kuhusu ufisadi.
Soma zaidi hapa...
Tarehe za kusikilizwa kwa kesi za kuondolewa kwa Rigathi Gachagua zimepangwa. Naibu Rais wa zamani anaomba fidia kwa madai ya kuondolewa kwake kinyume cha sheria.
Mamilioni ya wananchi kutoka matabaka yote ya kijamii wamejitokeza mitaani kote nchini Iran kushiriki maandamano ya kitaifa yanayoashiria maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Serikali ya Kenya imeweka mpango wa kusaidia familia za Kiislamu zilizo katika mazingira magumu huku zikijiandaa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhan wiki ijayo.
Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limeunga mkono muswada unaokusudia kubadilisha katiba ili kumruhusu Rais Emmerson Mnangagwa kubakia madarakani hadi angalau mwaka 2030.
Ziara rasmi ya rais wa utawala wa Israel, Isaac Herzog, nchini Australia ilikumbwa na maandamano makubwa siku ya Jumatatu, huku maelfu ya waandamanaji wakijitokeza katika miji kadhaa, hali iliyopelekea kuwepo…
Leo ni Jumatano tarehe 22 Sha'ban 1447 Hijria sawa na Februari 11 mwaka 2026.
Ripoti ya shirika la habari la Reuters, iliyotokana na picha za satalaiti na ushuhuda rasmi, imefichua kuwepo "kambi ya siri" nchini Ethiopia kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maelfu ya…
Mgombea wa chama cha Republican katika nafasi ya gavana wa Florida, James Fishbach, amezua mzozo wa kisiasa baada ya shambulio lake la moja kwa moja dhidi ya Ukuta wa Magharibi…
Rais wa Vladimir Putin wa Russia amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ambapo pande hizo mbili zimejadili kuhusu suluhu inyoweza kufikiwa nchini Ukraine.
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amesema kwamba utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump unaonyesha uadui dhidi ya Umoja wa Ulaya na unataka kuuvunja.
Uwekaji wa kumbukumbu, ziwe mbaya au nzuri, umekuwa ukipata umuhimu mkubwa tangu dahari na enzi...
Hafla ya mazishi ilitatizwa kiasi wakati jeneza lilipotumbukia kaburini, na kusababisha hofu miongoni mwa waombolezaji, tukio lililonaswa kwenye video iliyopepea.
Rigathi Gachagua amemtuhumu Rais William Ruto kwa kuingiza siasa za uchaguzi mkuu wa 2027 katika mpango wa Mfuko wa NYOTA unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Donald Trump anampokea Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Jumatano Februari 11, ambaye anatataka kumshawishi atoe shinikizo la juu zaidi kwa Iran. Imechapishwa: 11/02/2026 – 07:17 Dakika 3 Wakati…
Mwanahabari Samira Mohammed alieleza kwa nini timu yake ilirudisha KSh 20k walizotumiwa na Nabii David Owuor baada ya kupeperusha matangazo kuhusu madai ya uponyaji.
Maafisa wa upelelezi kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wamemkamata mwanamume wa Nyeri anayeshukiwa kumuua msichana wa miaka tisa ambaye alikuwa amepotea.
Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna huenda akapoteza kiti chake huku kundi linalomuunga mkono Oburu Oginga lenye njama hiyo likikutana Mombasa kufanya uamuzi.
Nchini Zimbabwe, serikali ilmeidhinisha siku ya Jumanne, hati iliyosainiwa na Waziri wa Sheria Ziyambi Ziyambi, inayoelezea mapitio makubwa ya Katiba ya Zimbabwe kupitia marekebisho. Miongoni mwa hatua zilizopendekezwa, ambazo zilivuja…
MTOTO mchanga mwenye umri wa siku moja ameibiwa katika Kata ya Buzuruga, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa…
WADAU wa uchumi wameshauri watumishi wazingatie mambo matatu ili mishahara yao ikidhi mahitaji na waweke akiba ya baadaye. Wameshauri watumishi wawe na nidhamu ya fedha, wawekeze kwenye mifuko ya uwekezaji…
Mkasa huo umetokea Tumbler Ridge, mji wenye watu 2,300 katika jimbo la British Columbia, zaidi ya kilomita 1,000 kaskazini mashariki mwa Vancouver. Mshukiwa wa mauaji hayo pia amepatikana amekufa, kufuatia…
Madai ya Peter Oyan ya kuponywa Ukimwi na Nabii David Owuor yalichunguzwa huku upekuzi ukifichua madai ya rekodi za matibabu ghushi, na hivyo kuzua hasira za umma.
WATAALAMU wa uchumi wameshauri mambo matano yazingatiwe ili kuongeza ufanisi wa mikopo ya asilimia 10 inayotengwa na halmashauri. Serikali inatoa mikopo ya asilimia 10 kupitia mgawanyo wa asilimia nne vijana,…
Siku kumi baada ya makabiliano makali kati ya jeshi la shirikisho la Ethiopia na Kikosi cha Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF), pande hizo mbili zinashutumiana kwa kujiandaa kwa vita…