Sesko alivyoiokoa Man United dakika za jioni
Mshambuliaji Benjamin Sesko ameibuka shujaa wa Manchester United usiku wa jana baada ya kufunga...
Mshambuliaji Benjamin Sesko ameibuka shujaa wa Manchester United usiku wa jana baada ya kufunga...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi ametangaza siku ya Jumanne, Februari 10, kwamba atasafiri kwenda Moscow mwezi Machi kujadili suala la Wakenya kadhaa walioajiriwa kwa nguvu katika…
Hatua ya kushtukiza ya Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ya kuanzisha mchakato wa kuufanyia...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema katika mahojiano na Fox News kwamba makubaliano yoyote na Iran lazima yajumuishe mpango wa makombora wa Tehran pamoja na mpango wa nyuklia wa nchi…
Nchini DRC, ujumbe wa Umoja wa Mataifa unajiandaa kwa ajili ya kuanza tena shughuli zake hatu kwa hatua huko Kivu Kusini, ametangaza Jean-Pierre Lacroix siku ya Jumanne. Imechapishwa: 11/02/2026 –…
Marekani inapanga kutuma wanajeshi takriban 200 nchini Nigeria kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo katika kupambana na wanamgambo wa Kiislamu, afisa mmoja wa Marekani amesema siku ya Jumanne, wiki…
#goodmorning Wataalamu wa afya wanasema mood yako ya asubuhi ina mchango mkubwa kwenye jinsi siku yako itakavyokwenda. Ukianza na hali nzuri, unakuwa na nguvu, umakini na mawazo chanya — lakini…
Muhula wa pili wa urais wa Samia Suluhu Hassan unatimiza siku 100 leo. Kwa tathmini ya wadau...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa tahadhari kuhusu azma ya utawala wa Israel ya kuishawishi Marekani iingie katika vita vingine dhidi ya Iran, wakati mazungumzo mapya…
Mojawapo ya sababu kubwa zilizomfanya Arne Slot kuletwa baada ya Jurgen Klopp ni uwezo wake wa kuvutia wa kuwaweka wachezaji wake katika hali nzuri.
Wanawake mashujaa wanakabiliana na baridi kali ili kuhesabu na kuhifadhi mnyama wa porini ambaye awali alikuwa unachukuliwa kama tishio katika vijiji vyao.
Mohamed Salah wa Liverpool anasakwa na klabu kubwa ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia, huku Manchester United na Chelsea zikimfuatilia kwa karibu kinda wa Gambia.
Uamuzi wa baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu siku ya Jumapili kuhusu Ukingo wa Magharibi ulikuwa msumari wa mwisho katika jeneza la udanganyifu na matumaini ya wale waliofikiri kwamba chini…
Ukisikia mambo ya mwaka wa mbele 😅 (Feed generated with FetchRSS)
DODOMA; CHEMBA ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC), imesema maboresho makubwa ya kiutendaji yanafanyika ndani ya chemba kwa lengo la kuongeza thamani kwa wafanyabiashara na kutatua changamoto zao kwa wakati.…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 10, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Watu wawili, akiwemo mmiliki wa Kampuni ya Salaaman Health Services Ltd, Abdi Hirsi, na Afisa Rasilimali Watu, Elia Makongwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ametoa onyo kali kwa baadhi ya viongozi wa vijiji na kata katika Wilaya ya Kiteto wanaotuhumiwa kuchochea migogoro kati ya wakulima na…
Ila hawa mtu na kaka yake 😅 @aminanjuki_ (Feed generated with FetchRSS)
Jevdet hamuamini kabisa kijana wa kuitwa Jemo maana hachelewi kuibua jipya...😅 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mohamed Rashid Mumpa, mmiliki wa gari la abiria aina ya Hiace yenye namba T 234 BUM, kufuatia tukio la kutelekezwa kwa gari hilo…
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amemshtumu Ruto kwa kugeuza Ikulu kuwa kitovu cha kutoa hongo, akidai uongozi unatolewa mhanga kwa ajenda za kisiasa.
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi alifichua mipango ya kutembelea Moscow huku vifo vya Wakenya vikiongezeka kutokana na kuajiriwa kijeshi kinyume cha sheria.
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mmiliki wa daladala baada ya dereva aliyekuwa...
Mahakama ya mkoa wa Mwanza, hivi leo imewapandisha kizimbani kwa mara nyingine watu wawili na Taasisi ya Salamani Helth Serivice Company L.T.D, kwa mashtaka 841 yakiwemo ya uhujumu uchumi, yaliyoisababishia…
DODMA: THE Benjamin Mkapa Hospital (BMH) in Dodoma is introducing a special fund to support bone marrow and kidney transplants, a move aimed at expanding lifesaving treatment for children with…
Mshauri wa masuala ya usalama wa mitandao Seth Mwabe amekamatwa tena baada ya mahakama kumwachilia huru baada ya kushtakiwa kwa kuiba KSh 11.4m kutumia kompyuta.
Mambo yanazidi kuiendea vibaya Tanzania Prisons kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo...
Ayub Savula afichua simu yake na William Ruto kuhusu uchaguzi wa 2027 na anapanga kupata kura milioni 2.6 Magharibi mwa Kenya, akimkwepa Wetang'ula.
Wakati mradi wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi, unaotekelezwa mkoani Simiyu kwa Shilingi Bilioni 440 ukiwa umefikia asilimia 51, Wananchi wa Mkoa huo, wameiomba Serikali kuharakisha ukamilishwaji wa mradi huo…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba leo Jumanne, Februari 10, 2026...
Wasomi na wataalamu wametakiwa kusimamia ukweli na kutumia taaluma zao kusaidia maamuzi ya...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja. Waziri huyo ametoa maelekezo hayo wakati akikagua maendeleo ya barabara…
Hoja ya madai ya wakili aliyesaini hati za maombi ya yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT...
Huyu ndio Katanga mwenye moyo baridi...🥹 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
Familia moja Kiambu inamuomboleza Kepha Ngugi, mume mwenye bidii na baba wa watoto watatu aliyeaga dunia huko Dubai miezi mitatu tu baada ya kusafiri kutafuta kazi.
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma imepongeza...
Kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International...
Sherehe na maandamano ya kuadhimisha miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yatafanyika katika miji zaidi ya 1,400 nchini kote, huku waandishi wa habari wa ndani na…
Duru za habari zimearifu kuwa ulinzi mkali umeimarishwa baada ya milio mikali ya risasi kusikika mapema leo karibu na gereza kuu katika mji mkuu wa Guinea, Conakry.
Idara ya Intelijinsia na Usalama wa Taifa ya Somalia (NISA) leo Jumanne imetangaza kuuawa kiongozi wa ngazi ya juu wa wanamgambo wa kundi la al- Shabaab katika oparesheni ya usalama.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu wa familia moja, Solomon Mwambyale na...
Wakati Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupunguza vifo vya kina mama na mtoto katika kipindi cha...
DAR ES SALAAM: Minister for Home Affairs, Patrobas Katambi, has urged citizens to register in the National Identification Authority (NIDA) system in order to fully benefit from various services provided…
DODOMA: Tanzania has reinforced its position as a hub of mining expertise in Africa by hosting a technical delegation from Burkina Faso seeking to learn best practices in sector operations.…