Wazazi wanapogeuza shule ‘madampo’ kubwaga watoto
Wakati shule zilianzishwa ili kutoa elimu ya kitaaluma kwa watoto, hali imebadilika hivi sasa.
Wakati shule zilianzishwa ili kutoa elimu ya kitaaluma kwa watoto, hali imebadilika hivi sasa.
SERIKALI imesema thamani ya mifuko ya hifadhi ya jamii imeongezeka kutoka Sh trilioni 10.43 mwaka 2020 hadi Sh trilioni 24.20 Desemba mwaka jana. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…
Ukatili uliofanywa huko El-Fasher, Sudan, mwezi Oktoba mwaka uliyopita ni “janga la kibinadamu ambalo lingeweza kuepukika,” Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza siku ya Jumatatu,…
Kenya inasema kuwa itazungumza na Urusi kuhusu ripoti zinazoongezeka kuwa raia wake wanasajiliwa kupigana vita nchini Ukraine, ikielezea kitendo hicho kama kisichokubalika.
Hali ya ukame imesababisha zaidi ya watu milioni 2 kukabiliwa na njaa katika sehemu za Kenya, huku jamii za wafugaji kaskazini mashariki zikiwa zimeathiriwa zaidi, kulingana na Umoja wa Mataifa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, alisema kuwa kwa maoni yake, serikali ya Iran “haitaangushwa kwa shambulio la anga, bali mfumo utadhoofishwa na huenda usiwe tena na…
Mkakati huu si wa kawaida, bali ni wa aina yake kwa kuwa umejikita katika misingi ya kisayansi,...
Eritrea imekanusha madai ya Ethiopia kuwa wanajeshi wake wapo katika nchi hiyo jirani, madai wanayosema ni ya uongo na yaliyotengezwa. Imechapishwa: 10/02/2026 – 04:59 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Mkuu wa Operesheni za kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani Pierre Lacroix, ameanza ziara ya siku tatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Imechapishwa: 10/02/2026 – 04:53 Dakika…
Baraza la Mawaziri nchini Israel, limepitisha hatua za kuchukua maeneo zaidi na kutawala katika Ukingo wa Magharibi inayokalia kimabavu. Imechapishwa: 10/02/2026 – 04:47 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Cristiano Ronaldo anatazamiwa kurejea Saudi Arabia, mabadiliko katika chumba cha baraza la Barcelona huenda yakaamua iwapo Marcus Rashford atasalia Uhispania, na Zinedene Zidane huenda akarejea Real Madrid.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake…
Makala hii haizitazami siku 100 hizi kwa macho ya sifa wala lawama, bali kwa mizani ya uhalisia. Ni jaribio kuelewa kwa nini siku 100 za Rais Samia zinaweza kuitwa zenye…
Leo ni Jumanne tarehe 21 Sha'ban 1447 Hijria, sawa na tarehe 10 Februari 2026.
Makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina yamesisitiza ulazima wa kukabiliana na mipango ya Wazayuni wenye misimamo mikali katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran yanatoa fursa nzuri ya kufikia suluhu “inayoridhisha pande zote ” kuhusu suala…
Zambia imeripoti visa 20 vipya vya kipindupindu katika kipindi cha saa 24 zilizopita hadi Jumatatu, huku mji mkuu Lusaka ukichangia visa 11 kati ya hivyo.
Serikali ya Somalia imeendelea kukosoa vikali uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kutambua kama nchi eneo la Somalia lililojitenga na kujiita Somaliland, ikisema kuwa hatua hiyo ni ukiukaji wa…
Takriban watu 21 wameuawa katika shambulio la hivi karibuni linalohusishwa na waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), afisa mmoja amesema Jumatatu.
Huyu naye kaharibu mipango (Feed generated with FetchRSS)
MKUTANO MKUU CAF KUFANYIKA TANZANIA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa CAF, katika ardhi ya Tanzania, itasaidia kupata ushirikiano kati ya…
MASHABIKI AZAM FC: “Tunakwenda kumuua Wydad, tupo zetu robo fainali” Mashabiki Azam FC hawana wasiwasi juu ya timu yao kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC). Shabiki mwingine…
Simulizi ya Isrey Athuman, binti mwenye miaka 26 ambaye ameishi na kifafa kwa zaidi ya miaka 10. Takwimu zinaonyesha kuwa takriban watu milioni 50 duniani kote wanaishi na ugonjwa wa…
Wazazi wa wanafunzi wa shule ya msingi Buyuni, iliyopo wilayani Chakechake, Pemba, wameiomba Wizara ya Elimu kuwabadilishia mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa madai kuwa hana ushirikiano na wazazi na…
#HABARI: Mchungaji Rose Masesa, dada mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amemuomba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake. Akizungumza leo Februari…
SIMBA SC: “Mashabiki wetu wasiingie kwenye malumbano” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu nyakati hizi ili kikosi hicho kiweze kufanya…
MASHABIKI SIMBA: “Alikuwa amechelewa kuja Simba” Mashabiki wa Simba waonesha kukoshwa na viwango vya wachezaji wao wapya waliowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Mashabiki hao wanasema wanamsubiri kwa hamu nyota…
Afrika Kusini imetangaza uamuzi mzito wa kisera na kiusalama, kuanza kuwaondoa wanajeshi wake waliokuwa wakihudumu chini ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Wahenga walishasema wivu ni kidonda😂😅 #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Tafiti zinaonyesha kuwa matokeo duni ya mwanafunzi ni dalili ya changamoto zilizoanza mapema, wakati wa kumjengea maarifa ya msingi. Ili taifa lipate mafanikio ya kweli, ni lazima kuwekeza sasa katika…
🔴#DAKIKA45 NA HASSAN SAID - MKURUGENZI MKUU REA .....FEBRUARI 09, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Ikiwa leo ni siku ya kwanza tangu kuzinduliwa kwa Soko la Kariakoo na Rais Samia Suluhu Hassan, wafanyabiashara wamekuwa na hekaheka za kujipanga kuingia na kufanya shughuli zao. Katika hatua…
Mchungaji Joy Benson amevuta mioyo ya wengi katika maombi wakati wa ibada ya Jumapili. Mke huyo wa Askofu Kiengei amewatia watu moyo kwa imani yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan , akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali wateule. Miongoni mwa viongozi walioapishwa ni pamoja na Dkt Fabian Madele…
Katika kuhakikisha kunakuwepo suluhu ya kudumu ya utatuzi wa changamoto ya vituo vya kujazia gesi, Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kupitia ubia kati…
Tuzo hiyo ni ya pili mfululizo kwa Pedro kwani ndiye aliibuka mshindi kwa tuzo za mwezi Desemba.
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA AHUHURI - 9/02/2026
Soko hilo lilifunguliwa jana na Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwa imetimia miaka mitano baada ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika...
Ukosefu wa miundombinu rafiki kwaajili ya mazoezi kwa timu ya Fountain Gate kumetajwa kuwa ni sababu zilizochangia timu hiyo kuondoka mkoani Manyara na kuhamishia Makazi yako mkoani Arusha. (Feed generated…
Wakati jamii ikitakiwa kuwaibua na kutowaonea aibu watu wenye ulemavu nchini, Shirika la New...
Dk Samizi amewahimiza wadau kuongeza juhudi za kupambana na unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi...