KUTOKA ANGOLA: Angola ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayozungumza Kireno ikiwa ni lugha rasmi ya Taifa
KUTOKA ANGOLA: Angola ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayozungumza Kireno ikiwa ni lugha rasmi ya Taifa. Kwa Afrika ni Guinea Bissau, Msumbiji, Angola na Cape Verde wanaotumia lugha hii…