Ujenzi wa majengo Sita kati ya ishirini na mawili ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora umekamilika kwa gharama ya zaidi ya Bilioni 1.7 na kuanza kutoa huduma kwa wakazi zaidi ya Laki tano huku wakazi wa maeneo hayo wakiiomba serikali kuendelea kushusha huduma hizo maeneo ya karibu na wananchi.

✍🏾@deilahmomo

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *