Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Hasheem Thabeet, amekabidhiwa rasmi ofisi, huku akieleza mikakati na vipaumbele vyake….
Hasheem pia amepokea taarifa ya utendaji kutoka kwa rais anayemaliza muda wake, Michael Kadege huku akiahidi ushirikiano na wadau wote wa mchezo huo.
Hii hapa taarifa kamili…
(Feed generated with FetchRSS)