#HABARI: Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amewashauri viongozi wa Serikali na Watanzania kwa ujumla wake, kuhakikisha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano, anaenziwa kwa vitendo si kwa maneno.

Ameeleza haya katika hafla ya kuchangia ujenzi wa Kanisa, hafla iliyoongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ambapo chama chake cha ACT Wazalendo wamechangia kiasi cha shilingi Milioni Kumi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *