#HABARI: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Kange Hamis (45) mkazi wa Kata ya Kiloleni Manispaa ya Tabora amekamatwa na kushikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kutumia majina ya viongozi wa kitaifa akiwemo Waziri wa Afya Mhe. Mohammed Mchengerwa, viongozi wa usalama wa Taifa na viongozi wa Polisi kutapeli watu kwa njia ya simu.
Akizungumzia tukio hilo mbele ya mtuhumiwa huyo pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Paul Chacha amesema mtu huyo anafanya utapeli kwa kuwapigia simu watu na viongozi akiomba kutumia fedha kwa utambulisho wa Mawaziri, Maafisa Usalama na Polisi na kwamba kesho atafikishwa Mahakamani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania