#HABARI:Wakili Msomi Kanan Chombala ametoa ufafanuzi wa kisheria kufuatia msuguano wa Mamlaka Mkoa wa Tabora dhidi ya waandaji wa Mkutano wa sherehe za injili uliopangwa kufanyika mkoani hapo kuanzia Machi 19 – 22, 2026.
Ikumbukwe juzi Vyombo vya ulinzi na usalama kupitia kwa Mkuu wa Mkoa huo Bw. Paulo Chacha, vilifuta kibali cha mkutano huo baada ya baadhi ya waandaji wa mkutano kusambaza shuleni vitabu na mipira yenye viashiria na alama za kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kinyume na maadili ya Nchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.