Akizungumza, Machi 18, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kupokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kilio cha baadhi ya wafanyabiashara kuhusu ukosefu wa haki na usawa katika ulipaji wa kodi kinakwenda kupatiwa ufumbuzi kufuatia Tume ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi kutoa mapendekezo ya kukabiliana na changamoto hiyo.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)