#HABARI: Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Afya ya Kinywa na meno kutoka Wizara ya Afya Dkt Baraka Nzobo, amesema asilimia 70 ya watu wenye changamoto ya afya ya kinywa na meno ni kutokana na kutozingatia namna sahihi ya kutumia dawa.

Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na meno iliyofanyika Kitaifa mkoani Manyara Dk.Nzobo amesema watu wazima wengi wanatumia dawa za meno za watoto zenye kiwango kidogo cha madini ya Floraidi (fluoride).

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *