#HABARI: Tume ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imebainisha kuwa rufaa na malalamiko yanayofikishwa katika tume hiyo yanahusu utoro kazini, ubadhilifu wa mali za umma pamoja na watumishi kutotekeleza majukumu ipasavyo.

Ametanabaisha hayo jijini Dodoma Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. John Mbisso ambapo ameongeza kuwa tume hiyo itajadili na kutoa uamuzi wa rufaa na malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa dhidi na watumishi wa umma dhidi ya waajiri katika mkutano wake wa tatu utakaofanyika kwanzia Machi 23 hadi Aprili 15 jijini Dodoma katika ukumbi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *