MTIBWA SUGAR: “…tumepata muda wa kutosha wa kupumzika…tumeangalia mechi zao”
Kikosi cha Mtibwa Sugar FC kinaendelea na tizi la nguvu kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Jamhuri Stadium Jijini Dodoma.
Kocha wa timu hiyo, Yusuph Chipo anasema wamepata muda wa kutosha wa kufanyia marekebisho makosa yaliyojitokeza kwenye mechi zilizopita, hivyo wana matumaini ya kufanya vizuri kwenye mchezo huo licha ya ugumu wake.
Nao baadhi ya wachezaji wa Mtibwa Sugar wanasema wana hamu na mechi hiyo…
Hii hapa taarifa ya Ahmad Ally kutoka Dodoma
#NBCPremierLeague #NBCPL #MtibwaSugar
(Feed generated with FetchRSS)