NBC Premier League kuendelea leo Alhamis kwa michezo miwili kupigwa saa 10:00 jioni.
Katika dimba la Lake Tanganyika, Wenyeji Mashujaa FC kuwakaribisha matajiri wa jiji la Dar es Salaam, AzamFC.
Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Katika Uwanja wa CCM Kirumba, Pamba Jiji kuwaalika Simba SC.
Mechi hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#NBCPL #Azamtvsports #SisiNiSoka

(Feed generated with FetchRSS)