#HABARI: Chuck Norris, nyota wa filamu za mapigano na mhusika mkuu wa Walker, Texas Ranger, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, kwa mujibu wa taarifa ya familia yake.

Norris alikuwa msanii wa mapigano mwenye mikanda myeusi katika karate, taekwondo, Tang Soo Do, Brazilian jiu jitsu na judo, na pia alibuni mtindo wake binafsi wa mapigano unaojulikana kama Chun Kuk Do.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *