#HABARI: Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kagera limepiga marufuku tabia ya wazazi ya kuwaruhusu watoto wadogo kwenda peke yao kuogelea katika ufukwe wa Ziwa Victoria, ulioko ndani ya Manispaa ya Bukoba kwenye eneo la Jimkana, kwani eneo hilo ni hatarishi kutokana kuwa na matukio mengi ya watoto wasio na usimamizi wa wazazi kuzama ndani ya maji na kupoteza maisha wakati wakiogelea.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Blasius Chatanda, ameeleza namna jeshi hilo lilivyojipanga kudhibiti aina zote za uhalifu wakati wa sikukuu ya Eid al Fitr.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania