Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Hussein Rashidi mwenye umri wa miaka 23, amepatikana akiwa amefariki dunia katika chumba alichokuwa akiishi, baada ya kutokuonekana kwa takribani siku tatu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *