LEO katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao.
Arsenal The Gunners dhidi ya ,Manchester City, The Citizens.
Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe.
Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:30 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#carabaocup #azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)