Hii hapa ni Ratiba ya Mazishi ya Marehemu William Lukuvi, Aliyekuwa Mbunge wa Isimani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu aliyefariki jana Machi 25 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma.

Akisoma ratiba hiyo kwa waombolezaji waliofika nyumbani kwa marehemu Area ‘D’ Jijini Hapa Afisa wa Bunge Bw. Patson Sobha amesema Ratiba ya kuuaga mwili huo itaanzia katika Viwanja vya Bunge Kesho Ijumaa Machi 27, Kisha kusafirishwa hadi Jijini Dar es salaam na hatimae Iringa ambapo Mwili wake utapumzishwa.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *