#MEZAHURU: RATIBA ZA SOKA LIGI KUU TANZANIA BARA. Tunangalia juu ratiba za soka hapa Tanzania hasa Ligi Kuu Tanzania Bara. Je kwa kiasi gani ratiba hii inaathiri ligi hii? Kwa nini ratiba hii kila mwaka zimekuwa zinalalamikiwa Je Bodi Ligi wanapopanga na kubadiri ratiba wanazingatia vigezo vipi? Je wanaangalia miundombinu na uwezo wa kila klabu? Je kwa nini baadhi ya timu kubwa tena zenye uwezo wa kusafiri na ndege ndio zimekuwa zina lalamika sana Nini kifanyike ili ratiba hizi zisiathiri matokeo ya vilabu vyote?

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *