Mji wa kihistoria wa Bagamoyo umetajwa miongoni mwa vituo muhimu vilivyotumika kusafirisha watumwa katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kwa sasa Bagamoyo inatumika kama sehemu ya kujifunza na kukumbuka historia hiyo, pamoja na kuhamasisha heshima kwa utu na haki za binadamu.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *