Bashungwa ameeleza kuwepo kwa changamoto katika miradi ya maji iliyokamilika katika kata za Nyakakika, Nyakabanga, Bweranyange na Bisheshe, ambapo miradi hiyo haitoi huduma kwa wananchi.
Akijibu hoja hizo, Eng. Kundo amesema Wizara ya Maji imeshachukua hatua kwa kubadilisha mkandarasi, na kwamba utekelezaji wa miradi ya Chanika na Nyakasimbi unaendelea.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)