Jeshi la Polisi mkoani Lindi kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limewakamata wahamiaji haramu 70 wakiwa katika Meli ijulikanayo kwa jina la Fv Sea Mfalme wakitokea katika nchini za Kenya, Burundi, Rwanda, Uganda na Visiwa vya Comoro.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *