#MzizimaDerby “….nilikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika ushindi wa kwanza wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar ugenini”
Abdulhalim Humud anakumbushia ‘kitu’ ambacho anakikumbuka zaidi alipokuwa akiitumia Azam FC…
….asimulia ugumu aliokuwa anakutana nao akiwa Azam FC dhidi ya Simba SC iliyokuwa na watu kama Amri Kiemba na Emmanuel Okwi…
….achambua sifa za mashabiki wa Simba kuhusu mchezaji aliyewahi kuchezea timu yao na kiasha kuhamia timu nyingine akisema “…wanaamini bado ni mtu wao”
Je, Aprili 5, 2026, itakuwaje???
Usikubali kupitwa na burudani ya aina hii… Lipia sasa Kisimbuzi chako kwa kifurushi cha shilingi 28, 000/ tu!!
✍️ @amosimasokotz
#NBCPremierLeague #NBCPL #MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #AzamSimba
(Feed generated with FetchRSS)