TRA UNITED: “…ukija kucheza na TRA, hakikisha benchi lako lina pasipoti….tumejitengenezea dunia yetu”
TRA United baada ya kuwapiga Singida BS, sasa msemaji wao Christina Mwagala anatamba kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Simba akitoa tahadhari pia kwa kila timu inayokwenda kucheza nao kwamba wahakikishe wamewaandaliz nauli makocha wao…
Christina anasema kwenye mchezo dhidi ya Simba, wataendeleza “TRA effect”, ili nao wamfukuze kocha wao…
Je, itakuwa hivyo??
Mechi ni Aprili 9, 2026 LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #TRAUnited #Mwagala
(Feed generated with FetchRSS)