Taasisi ya Wazee Jasiri Organization (WAJAO) imetangaza mpango wa kutembelea mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kutoa elimu kwa jamii kuhusu changamoto ya upotevu wa maadili pamoja na umuhimu wa kuzingatia thamani ya utu wa binadamu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya taifa kuelekea Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *