Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu amuapisha Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge hilo.
Angela Kizigha aliteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mbunge ambapo leo Aprili 9, 2026 amekula kiapo cha uaminifu na ahadi ya Uzalendo.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)