CRDB Federation Cup hatua ya 16 bora inakamilika Ieo Jumapili kwa michezo minne kupigwa.

Saa 10:00 jioni Coastal Union kucheza na Pamba Jiji.

Je, timu gani kuungana na Mashujaa, JKT Tanzania Coastal Union na Yanga SC katika hatua ya robo fainali?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.

#CRDBFederationCup #Azamtvsports

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *