AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Mkuu wa idara ya program #AzamMedia Fatuma Mohamed, amehimiza wadau wa michezo kuendelea kufanya mazoezi ili kulinda afya zao.
Fatuma ameyasema hayo mapema leo Aprili 11, 2026 kwenye mbio maalumu zilizopewa jina la AzamTV Fitness Club Fun Run zilizofanyika katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam.
Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
#KurasaZaMwisho #AzamTVFitnessClubFunRun
(Feed generated with FetchRSS)