MUUNGANO CUP 2026 | “…haya ndiyo mashindano pekee yanayokutanisha uwezo wa wachezaji wa daraja A, na wachezaji wa daraja A chanya”
Neno kutoka kwa Mkurugenzi wa City Institute of Health, Shabani Mwanga kwa niaba ya wadhamini wa mashindano.
Mwanga amesema hapa ndipo vipaji vya wachezaji wa Kimataifa kutoka nje ya Tanzania (Aaraja A chanya) vinapokutana na vipaji vya wachezaji wa Kimataifa kutoka ndani ya Tanzania (“Daraja A”)
Leo ilikuwa ni uzinduzi rasmi wa michuano ya Kombe la Muungano 2026 LIVE kutoka Ukumbi wa Mikutano wa New Amaan Complex, Zanzibar..
Balaa linaanza Aprili 21, 2026 na mechi zote utazipata LIVE #AzamSportsHD
#MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha

(Feed generated with FetchRSS)