MUUNGANO CUP 2026 | Wapi hiyo…!!???
Ni hapa Amaan Stadium ambapo leo kinaanza kutimuka kivumbi cha michuano ya Kombe la Muungano…
Mechi ya ufunguzi ni mabingwa watetezi Yanga SC vs Muembe Makumbi City (wafuga punda).
Je, watavuliwa ubingwa!?
Mechi hii ni saa 1:15 usiku LIVE #AzamSports1HD
#MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha.

(Feed generated with FetchRSS)